Msanii Maarufu Kisima ' Nyanda Majabala' ameachia ngoma kibao mwezi huu, 2022... Hii hapa moja ya ngoma zake mpya na bora kabisa inaitwa Ng'wanaone. Video hii imetengenezwa Mbasha Studio na Director Migera ..
Tazama Video Hapa chini
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako